017 - Nikodemo Amwendea Yesu Usiku from siri ya maisha Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Maandiko ya kumbukumbu: Yohana 3: 1-17nYesu kamwambia Nikodemu jinsi vile Mungu anapenda kilamtu.nnSwali 1: Nikodemo alikwenda kwa Yesu wakati wa usiku. Kwa nini unafikiri baadhi ya watu huchagua kudumisha imani yao katika Yesu siri?nnSwali 2: Yesu alimwambia Nikodemo kwamba anastahili kuanza upya ili kuweza kuingia katika Ufalme. Unaweza kutafsiriaje watu ujumbe huo leo?nnSwali 3: Je, Yohana 3:16 inasema nini kuhusiana na maisha yako? Inakuelekezaje? Imekubadilisha kwa njia gani?nnTazama, pakua